http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/10/paperwork.jpg
Wakati ambapo T.I. akijiandaa kuja Tanzania kwenye Fiesta October 18 na pia kutoa album yake ‘Paper Work’ October 21, ameachia single yenye jina hilo aliyomshirikisha Pharrell Willims.
comments
http://s2.hulkshare.com/song_images/180/6/f/d/6fdb791e252ecb052f52d65ae58e985d.jpg?dd=1412688842
Download na sikiliza nyimbo mpya kutoka kwa Cwaz Intergrity akiwa amemshirikisha Hipolitics nyimbo inaitwa ROHO SAFI comments
http://s0.hulkshare.com/song_images/original/2/f/d/2fda4e03c56f51729fce9e40e4b9b374.jpg?dd=1412680819
comments


Facebook @Dj Ramah
Instagram @Dj_Ramah95
Twitter@DjRamah

comments
comments


comments
Lundo la vyombo vya habari nchini Kenya limeandika habari kuwa hitmaker wa ‘Kwaajili Yako’, Hussein Machozi amekamatwa akizini na mke wa mwanasiasa maarufu mjini Mombasa, Kenya.
machozi-2
Habari za kukamatwa akiwa na mwanamke huyo zimeenea kwa kasi nchini humo. Gazeti la The Star limedai kuwa Hussein alikuwa na uhusiano wa siri na wa muda mrefu na mwanamke huyo na mume wake alikuwa ameshtuka tayari na hivyo kuwawekea mtego. Limedai kuwa wawili hao walikuwa wanachepuka kiasi cha kupanga kununua nyumba ya pamoja. Vyanzo vilivyoongea na gazeti hilo vimedai kuwa mwanasiasa huyo huwa husafiri mara nyingi na hivyo kumpa upenyo mke wake kusaliti ndoa yake.
Blog moja ya Mombasa imeandika:

Msanii Hussein Machozi Apokea Kichapo Cha Mbwa Na Kupewa Masaa 24 Kuondoka Hapa Nchini Kenya
Msanii huyu mashuhuri wa bongo flavor leo hii katika hoteli flani ya kitalii hapa jijini Mombasa alijipata matatani baada ya kupatikana akiwa na mke wa kiongozi flani mashuhuri wa hapa nchini. Yasemekana mheshimiwa huyu amekua akimkulia timing Machozi bila mafanikio lakini leo siku arobaini zilitimia kwake msanii huyu mkosa adabu. Msanii huyu alipatikana red handed na mke wa kiongozi huyo kwa kitanda na hapo ndipo masaibu yakamkumba na kuamrishwa aondoke hapa nchini kwa masaa aliopewa.


Hii ni habari nzima ya gazeti la The Star:
Tanzania bongo artiste Hussein Machozi was caught pants down with the wife of a prominent Mombasa businessmen and beaten thoroughly. Hussein who is nursing injuries was at the coast to shoot a music video when he hooked up with the said wife.
According to multiple sources who requested anonymity, the singer has been in an alleged long standing secret affair with the married woman and they were planning on buying a house together.
To keep the affair alive, the two love birds shuffled between Dar es Salaam and Mombasa.

Our source told Word Is, “The married woman’s husband is a very busy man. His time is occupied by his numerous business ventures and politics. He started suspecting the wife is stepping out on him when he found funny texts on his wife’s WhatsApp. He then laid a trap for the two of them.”
The Tanzanian heartthrob fell into the trap and was caught with his hands in the cookie jar. Security teams on the ground tried to contain the fiasco as the husband of the wife rained blows on the star.
His closest friend Stephen Yaa famously known as Notystee – a Mombasa based promoter – was with the Hussein when he arrived in in Mombasa on Wednesday. Notystee confirmed to Word Is that the incident did happen and that the bongo act called him up saying that he was in trouble.
“I was shocked when I received a call from Hussein saying that he was in trouble. He had earlier told me that he was going to meet a certain lady whom he was in love with, but I didn’t knew what was going to happen,” Notystee said.
Commenting on the altercation, Hussein told Word Is, “I will get back (to Mombasa) when am well. I’m in great pain. I never knew that the lady belonged to a powerful man at the coast.” The star famed for singles like Kafia Ghetto and Addicted is currently hiding at one of the houses belonging to a prominent Tanzanian tycoon who lives in Nyali.
comments
Studio ya Bongo Records iliyo chini ya producer mkongwe P-Funk Majani inatafuta wasanii wapya.
10514111_1426513977637040_277138636_n
Majani anataka wasanii wenye vipaji wamtumie kazi zao na wale wenye bahati watakuwa chini ya usimamizi wa Bongo Records. “Bongo Records is looking for new Talent. Plz send ur demo’s to bongo_recordz@yahoo.com ( Plz include a photo of ur self,” ameandika Majani.
Majani amezungumza na Bongo5 kufafanua zaidi:
“Natafuta wasanii kama watano hivi, wakufoka, wakuimba, producers, sio wa kiume tu hata wa kike pia so kama kuna mwimbaji wa kike wa kiume wote nawahitaji nataka kuchanganya changanya nitengeneze kundi fulani hivi,” amesema.
“Hao wote ni label ya Bongo RecordS ambayo ilikuwa zamani, ilikuwa label na inasifa kubwa Bongo recordS kujenga wasanii, imejenga malejendari wote ambao wanafanya vizuri kwenye muziki wa Tanzania huu. Unajua mfumo wa biashara ulikuwa umepotea, zamani kilichokuwa tunafanya ni kuuza makanda, sasa ilikuja ikapotea ikabaki wasanii wanajipatia maslahi kwa show. Unajua unapofanya kazi biashara yoyote unaweka jasho lako unategemea urudishe, inaonekana na mfumo wa sasa hivi kuna opportunity nyingi sana za kuendesha label na nimegundua kwamba bila label hatuwezi kuendesha vitu vikubwa. Zamani nakumbuka tulikuwa na matamasha tunafanya vitu vikubwa, sasa hivi kama watu wamesambaratika, tukifanya ngoma moja moja itatupotezea sio kwa mabaya kwa manufaa ya muziki. Hakuna mtu ambaye alikuja kuiga mfumo wangu baada ya mimi. MJ amefanyafanya lakini sio kama ile label. Zamani ukiambiwa bongo record ilikuwa mshtuko kwa watu. Kwahiyo wasanii watume demo za nyimbo zao, pamoja na picha, muonekano ni kitu cha umuhimu. Pia nahitaji producers na wao watume beatz zao.” comments
Rapper mkongwe na CEO wa studio ya Mwanalizombe, Professor Jay ametoa teaser wa wimbo wake mpya ambao ameufanya mwenyewe lakini kwa sura tatu tofauti. Wimbo huo unaoitwa ‘Tatu chafu’ ameufanya Joseph Haule na kutumia ubunifu wa kujishirikisha mwenyewe kwa sura tatu za Professor Jay, J Hustle, na Nigga J.
“STAY TUNED… #TATU CHAFU #STRICKLY HIPHOP #MWANALIZOMBE # ALL DAY EVERYDAY”- Professor Jay
comments
b
comments
IMG-20140509-WA0002
comments
914790_488452711257307_2079378779_n
commentsBaada ya wapenzi wa muziki Tanzania kusubiri kwa muda mrefu sasa wamepata nafasi ya kujiburudisha na ngoma mpya kutoka kwa Alikiba. Tarehe 25 Julai, 2014 Alikiba ameachia single mbili mpya kwa wakati mmoja ziitwazo “Mwana” na “Kimasomaso”. Alikiba anajulikana ndani na nje ya Tanzania kwa hit zake kama Cinderella, Mapenzi yanarun dunia, Single boy, na Dushelele. Cinderela ndiyo wimbo ambao mpaka sasa umeweka rekodi ya kuuza copy nyingi katika Afrika Mashariki mwaka 2008. Mwaka 2012 Alikiba alishinda tuzo ya best Rhumba/ Zouk na wimbo wake wa “Dushelele” katika tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards. Alikiba anajulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kuimba na utunzi wa nyimbo pamoja na kuwa mburudishaji mkali sana katika show zake za live na mpaka sasa ametembea nchi nyingi sana duniani kuburudisha wapenzi wa muziki. Sasa unaweza kupata nyimbo mbili mpya za Alikiba katika tovuti ya 
Instagram Alikiba
comments
Stamina2
comments
Copyright © 2014 BABA JONII